DIVOCK ORIGI AZUNGUMZA KISWAHILI BAADA YA MECHI
Kwa wapenzi wa Soka Afrika Mashariki jina la Divock Origi haliwezi kuwa geni kwao, huyu star wa soka anayeichezea Liverpool ya Uingereza lakini asili yake ni Kenya ambako pia baba yake mzazi aliwahi kuwa mchezaji maarufu.
Baada ya kumalizika kwa game kati ya Liverpool na West Ham, Divock alizungumza na mtangazaji wa BBC Salim Kikeke na lugha iliyotumika kwenye mahojiano yao ilikuwa Kiswahili.
Comments
Post a Comment