Mwili wa Kim Jong-un wawasili Korea Kaskazini

Mwili wa Kim Jong-nam, ndugu wa kambo wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, umewasili nchini Korea Kaskazini.
Korea Kaskazini ilikuwa imeomba kupewa mwili huo lakini haikuwa imesema ulikuwa ni wa nani.
Mwili huo ulitolewa kwa Korea Kaskazini kama sehemu ya makubaliano ambapo raia 9 wa Malaysia, waliizuiwa kuondoka Korea Kaskazini waliwasili nyumbani.
Nchi hizo mbili zimekuwa kwenye mzozo wa kidiplomasia kufuatia mauaji ya Kim, kwenye uwanja wa Kuala Lumpur mwezi uliopita.










Kila nchi ilikuwa imewapiga marufuku raia wa nchi nyingine kuondoka. Raia watatu wa Korea Kaskazini wameruhusiwa kuondoka malaysia, kwa mujibu wa mkuu wa polisi wa nchi hiyo.
  • Wanawake 2 kushtakiwa kwa mauaji ya Kim Jong nam
  • Mshukiwa wa mauaji ya Kim Jong-nam alilipwa $90
Korea Kaskazini inashukiwa pakubwa kuhusika kwenye kifo cha bwana Kim, kwa kutumia kemikali akiwa uwanja wa Kuala Lumpur.
Raia wa Malaysia wakaribishwa nyumbani











Comments

Popular posts from this blog

DIVOCK ORIGI AZUNGUMZA KISWAHILI BAADA YA MECHI

TAARIFA MBAYA MASHABIKI WA MAN UNITED KUHUSU JUAN MATA

TOP TEN YA VILABU VYENYE THAMANI KUBWA DUNIANI