KOMBE LA DUNIA KULINDIMA JUNE MPAKA JULY 2018
kombe la dunia litaanza kulindima june 15 mpaka july 15 uwanja wa moscow luzhniki ndo uwanja ambao utatumiwa kwa ufunguzinwa kombe la dunia na miji mingine itausishwa katika fainali za kombe la dunia miji ni kama Kazan, Nizhny Novgorod, Sochi, Samara na robo fainali itafanyika st peterburg na nusu fainali itafanyika moscow.
Comments
Post a Comment