REAL MADRID YAWEKA REKODI BAADA YA KUTWAA UBINGWA



Mabao mawili ya Cristiano Ronaldo na Karim Benzema yaliiwezesha Real Madrid kutwaa taji la kwanza la La Liga tangu 2012 katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malaga.
Cristiano Ronaldo alifunga bao la kuongoza dakika ya kwanza huku Karim Benzema akiongeza bao la pili baada ya mapumziko katika mchezo ambao Real Madrid walihitaji pointi moja tu kutwaa ubingwa
Cristiano Ronaldo ni mfungaji bora wa muda wote kwenye Ligi kuu tano za Ulaya (369), akimzidi Jimmy Greaves (366)
Zinedine Zidane anakuwa mchezaji wa zamani wa sita wa Real Madrid kushinda La Liga akiwa meneja, baada ya Bernd Schuster, Vicente del Bosque, Jorge Valdano, Luis Molowny na Miguel Munoz

Comments

Popular posts from this blog

DIVOCK ORIGI AZUNGUMZA KISWAHILI BAADA YA MECHI

TAARIFA MBAYA MASHABIKI WA MAN UNITED KUHUSU JUAN MATA

TOP TEN YA VILABU VYENYE THAMANI KUBWA DUNIANI